ZAGCO kwa kushirikiana na kampuni ya EAST WEST SEED kanda ya Zanzibar imeandaa siku ya shamba darasa ( Field day ) inatakayofanyika siku ya Jumanne ya tarehe 25 / 11 / 2025 katika eneo la Dole, viwanja vya maonesho Zanzibar.
Lengo ni kutoa elimu na kujionea namna ya mbegu ya mahindi matamu (SUGAR KING F1) inavyofanya vizuri katika maeneo mbali mbali ya ndani na nje ya Zanzibar