ZAGCO inatoa salamu za pongezi kwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa awamu y ...
ZAGCO inatoa salamu za pongezi kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
ZAGCO inatoa salamu za pongezi kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya Pili. " ...
Heri ya miaka 26 ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
"Every body want development but not every body understands and accept the basic requirements for development. The biggest requireme ...
Mkurugenzi wa idara ya maendeleo ya vijana Zanzibar atembelea eneo la kilimo na mifugo ZAGCO
Mkurugenzi wa idara ya maendeleo ya vijana Zanzibar Mhe Shaib Ibrahim Muhamed ametembelea taasisi ya ZAGCO kwa lengo la kuangalia shughuli zinazofanyi ...
Wataalamu wa ZAGCO watoa mafunzo ya kutengeneza mbolea ya asili kwa vijana
Wataalamu wa ZAGCO kwa kushirikiana na Asili Fertilizer Project watoa mafunzo wa kutengeneza mbolea ya asili kwa vijana.Ikiwa ni miongoni mwa jitihadi ...
ZAGCO kuanza field day
Wataalamu wa ZAGCO kufanya field day na wakulima vijana maeneo ya kidimni kwa lengo la kuonesha fursa na changamoto zilizopo katika kilimo kwa kushiri ...
Jumuiya ya ZAGCO haiko nyuma katika kutoa elimu ya kilimo
ZAGCO kwa kushirikiana na Kampuni ya East West Seed kanda ya Zanzibar yafanya ziara kwa wakulima katika eneo la Kikungwi Kusini Ungu ...
Mkuu wa wilaya wa Kusini Unguja utembelea banda la ZAGCO
Mkuu wa wilaya wa Kusini Mhe. Othman Ali Maulid akitembelea banda la Zanzibar Green Culture Organization (ZAGCO) katika maonesho ya nane nane , Dole Z ...
Heri ya sikukuu ya nane nane 2025
Tunawatakia wananchi wote heri ya sikukuu ya nane nane kwa kuwakaribisha katika bando la letu lililopo katika viwanja vya maonesho Dole, Kizimbani Zan ...
Mkurugenzi wa idara ya maendeleo ya vijana Zanzibar akitembelea banda la ZAGCO
Mkurugenzi wa idara ya maendeleo ya vijana Zanzibar muheshimiwa Shaib Ibrahim Muhamed akitembelea banda la Zanzibar Green Culture Organisation (ZAGCO) ...