Jumuiya ya ZAGCO haiko nyuma katika kutoa elimu ya kilimo

ZAGCO kwa kushirikiana na Kampuni ya East West Seed kanda ya Zanzibar yafanya ziara kwa wakulima katika eneo la Kikungwi Kusini Unguja kwa lengo la kuelimisha wakulima vijana naona gani wa kufata taaluma zinazotolewa na wataalamu wa kilimo kutoka ZAGCO zinaweza kusaidia kupata mazao yaliokuwa bora.

Hii ni moja ya shughuli ya ZAGCO katika utoaji elimu kwa wakulima namna gani ya kulima na kufuata shughuli na taratibu zote za kilimo

Leave A Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *