Mkurugenzi wa idara ya maendeleo ya vijana Zanzibar muheshimiwa Shaib Ibrahim Muhamed akitembelea banda la Zanzibar Green Culture Organisation (ZAGCO) katika kilele cha maadhimisho za nane nane yaliofanyika katika viwanja vya maonesho Dole, Kizimbani Zanzibar