Mkutano mkuu ZAGCO December 30, 2025 with no comment AnnouncementNews and Events Taarifa ya Mkutano Mkuu wa mwaka wa wanachama na wajumbe wote wa Zanzibar Green Culture Organization (ZAGCO). Mkutano huo utafanyika siku ya Alhamis ya tarehe 01 / 01 / 2026 saa mbili ( 2 ) asubuhi katika Skuli ya kilimo Kizimbani.Shime wanachama kuhuzuria kwa wengi. Previous Post Kikao maalum cha bodi ya ZAGCO Next Post Uchaguzi mkuu ZAGCO 2026