Mkutano mkuu wa ZAGCO uliofanyika katika Skuli ya kilimo Kizimbani tarehe 01 January 2026. Lengo ni kujadili mambo mbali mbali wa jumuiya na kuchagua viongozi wapya watakaoshika nafasi kwa kipindi kinachofuata.
Mgeni rasmi ni Mkurungenzi wa Manispaa ya Magharibi “A”, Mhe Moh’d Simba Hassan.