Uongozi wa ZAGCO unawatakia waislamu wote kheri na baraka ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.Kwa pamoja tunawatakia Ramadhan Mubarak, swa ...
Kheri ya miaka 62 ya mapinduzi ya Zanzibar
Uongozi wa Zanzibar Green Culture Organisation (ZAGCO) unawatakia wananchi wote kheri ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar."AMANI, U ...
Mkutano mkuu ZAGCO 2026
Mkutano mkuu wa ZAGCO uliofanyika katika Skuli ya kilimo Kizimbani tarehe 01 January 2026. Lengo ni kujadili mambo mbali mbali wa ju ...
Uchaguzi mkuu ZAGCO 2026
Wanachama mbali mbali wa ZAGCO wamejitokeza katika uchaguzi mkuu wa ZAGCO 2026 uliofanyika siku ya tarehe 1 January katika skuli ya ...
Mkutano mkuu ZAGCO
Taarifa ya Mkutano Mkuu wa mwaka wa wanachama na wajumbe wote wa Zanzibar Green Culture Organization (ZAGCO). Mkutano huo utafanyik ...
Kikao maalum cha bodi ya ZAGCO
Kikao maalum cha bodi ya ZAGCO kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano skuli ya kilimo Kizimbani. Kilichokuwa na lengo la kujadili ...
Taarifa ya mkutano
Taarifa ya mkutano wa bodi ya wadhamini ZAGCO, utakaofanyika siku ya jumamosi sawa na tarehe 27 /12/2025 katika ukumbi wa mikutano s ...
ZAGCO inawatakia kheri ya miaka 64 ya uhuru
ZAGCO inawatakia Watanzania wote kheri ya maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara. "Uhuru Wetu, Wajibu Wetu, Kulitumikia ...
Naibu Waziri wa Kilimo amefungua mafunzo ya wakulima
Naibu Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar. Dkt. Salum Soud Hamed, amefungua mafunzo ya wakulima na kuzindua ...
ZAGCO yaandaa shamba darasa
ZAGCO kwa kushirikiana na kampuni ya EAST WEST SEED kanda ya Zanzibar imeandaa siku ya shamba darasa ( Field day ) inatakayofanyika ...