Wataalamu wa ZAGCO watoa mafunzo ya kutengeneza mbolea ya asili kwa vijana

Wataalamu wa ZAGCO kwa kushirikiana na Asili Fertilizer Project watoa mafunzo wa kutengeneza mbolea ya asili kwa vijana.

Ikiwa ni miongoni mwa jitihadi zinazochukuliwa na wataalamu hawa kwa lengo la kuwaelimisha vijana na kushiriki kwa vitendo katika fursa mbali mbali.

Mbolea hiyo inatengenezwa kwa kutumia majani na mabaki ya chakula, mafunzo hayo yamefanyika katika eneo la Bubwisudi, Wilaya ya Magharib A, Mkoa wa Mjini Magharib Unguja

zagco

One Response

Leave A Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *