ZAGCO kuanza field day August 30, 2025 with no comment News and Events Wataalamu wa ZAGCO kufanya field day na wakulima vijana maeneo ya kidimni kwa lengo la kuonesha fursa na changamoto zilizopo katika kilimo kwa kushirikiana na kampuni ya mbegu East West Sed. Previous Post Jumuiya ya ZAGCO haiko nyuma katika kutoa elimu ya kilimo Next Post Wataalamu wa ZAGCO watoa mafunzo ya kutengeneza mbolea ya asili kwa vijana